Diamond Ft Mbosso Oka Paroles

mp3

Oka Paroles

 

Ashi ashika ashi le general dangote
Ashi ashika ashi kirungi bin shedede

Kananipa mambo ya pwani hadi napandisha mazyiii
Dozi kitandani hadi nazimika Ziii
Ooh haniti chibu anakatisha Chiii
Ka nyakanga mwali anavyokatika

Jamani ale ale ale (Alele)
Alelele (Alele) ooh ale (Alele)
Alelele (Alele)

Asa oka okaka
Oka okaka
Oka okaka
Oka okaka

Baby ooh
Umenifanya nini mi mwana wa mwenzio
Maana kwako sioni umenifunga na sikio
Ukinishika hapa (Utamu)
Ukinigusa huku (Utamu)
Ukinichumu mimi (Utamu)
Ukinibusubusu jamani

Oka okaka
Oka okaka
Oka okak
Oka okaka

Kama konokono mwenda pole
Kwenye mchanga
Nakupa mkono wa kongole
Baby we mwamba
Hesabu za kukokotoa

Umenifunza wewe
Waniamisha mikoa
Bumbuli kwa ukerewe

Ooh mapenzi ni kinywaji soft baridi
Wananuna mwenzao nikifaidi
Ooh malezi amerithi upande wa bibi
Mwali nyuma kama mlima itigi

Oka okaka
Oka okaka
Oka okaka
Oka okaka

Usizidishe chumvi ntapa safura
Nimeambiwa juzi unachezaga chura
Asa Chura (Anarukaruka)

Chura (Anajumpjump)
Chura ooh ooh (Anarukatuka)
Jamani chura (Anajumpjump)

Adede adede adede adede adede yiih
Adede adede adede adede fagilia waaah
Eeeh fagilia waah

Kusemasema kando hayo mambo ya kinafki
Kama wayaweza mambo kuja uoneshe kati
Chura (Anarukaruka) chura (Anajumpjump)

Ooh chura (Anarukatuka) chura (Anajumpjump)
Adede adede adede adede adede yiih
Adede adede adede adede fagilia Waaah
Eeeh fagilia waah

Inde inde inde baby inde
Inde inde inde nione inde
Inde inde inde baby inde
Asa Inde inde inde nione inde

Huyo mtoto (Anabalaa) mtoto (Anakusudi)
Muone mtoto (Anabalaa) mtoto (Anakusudi)
Ooh anasifa (Anabalaa) sifa za makusudi (Anakusudi)
Mwana anajibingirita (Anabalaa) kifudifudi (Anakusudi)

Facebook
Twitter
WhatsApp

Artiste

Autres titres de l'artiste

Catégories